MWENYEKITI UVCCM MKOA WA RUKWA, AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA UTEKELEZI,ASISITIZA KUTOKUUNGA MKONO MAANDAMANO,AVIOMBA  VYOMBO VYA DOLA KUWASHUGHULIKIA NA KUWAFIKISHA MBELE YA VYOMBO VYA SHERIA WOTE WATAKAOKAIDI AGIZO LA MHE RAIS MAGUFULI LA KUTOKUFANYA MAANDAMANO

Na:-Mbogi Petro

Mwenyekiti Wa Vijana Wa CCM Ameongoza Kikao Chake Cha Kwanza Cha Kamati Ya Utekelezaji Ya Jumuiya Hiyo Ya Vijana Katika Mkoa Wa Rukwa.

Kikao Hicho Cha Kamati Ya Utekelezaji Ya Vijana Mkoa Kiliudhuriwa Na Mjumbe Kutoka Wilaya Ya Sumbawanga Mjini Ndg. Button Lubusi,Mjumbe Kutoka Wilaya Ya Nkasi Rosemary Simwaka,Katibu Hamasa Na Chipukizi  Ndg.Andrew Matanila Pamoja Na Katibu Wa Vijana Wa Mkoa Huo Ndg. Mashaka Mshola. 

Kikao Hicho Kilichokuwa Na Agenda Zifatazo.

1.) Kufungua Kikao.
2.) Taarifa Ya Mradi Wa Vyumba Vya Maduka Chanji.
3.) Uhai Wa Jumuiya.
4.) Kupitisha Taarifa Ya Masikisio Ya Mapato Na Matumizi.
5.) Mahusiano Baina Ya  Chama,Jumuiya Na Serikali.
6.) Kuthibitishaji Na Uundaji Wa Kamati Ndogo Ndogo.

Kwa Umuhimu Zaidi Wa Taarifa Kwa Wadau Wa Jumuiya Hiyo Ya Vijana Mkoa Wa Rukwa Ni Swala Zima La Agenda.

3.)Uhai Wa Jumuiya

Katika Agenda Hii Jumuiya Hiyo Ya Vijana Mkoa Wa Rukwa Pia ILiona Umuhimu Wa Kuingiza Agenda Hii Muhimu Sana Katika Kikao Hicho Cha Kazi Ambapo Kupitia Agenda Hii Kikao Kimejadili Mambo Mengi Ambayo Yapo Katika Utaratibu Wa Kiutekelezaji Ambao Ulikwisha Anza Tayari Katika Mkakati Wa Kuimarisha Uhai Wa Jumuiya Hiyo Ya Vijana. 

a.)kuanzisha Mradi Mpya Wa Pikipiki Kama Bodaboda Kwa Ngazi Ya Mkoa Ambapo Kufikia 2020 Jumuiya Ya Vijana Mkoa Wa Rukwa Umedhamiria Na Kukadiria Kwamba Tayari Utakuwa Na Pikipiki Takribani 15 Ambazo Ofisi Ya Vijana Mkoa Inajipanga Vyema Kuakikisha Inatekeleza Shabaha Yake Hiyo.

b.)Kikao Kimeagiza Kwamba Kila Tawi Lijitahidi Na Liakikishe Kwamba Kwa Mwezi Linaingiza Wanachama Wapya Watatu(3) Wa Jumuiya Hiyo Ya Vijana Kwani Ofisi Ya Mkoa Tayari Inaendelea Na Mkakati Wa Kuakikisha Kwamba Kadi Zinapatikana.

c)Katika Kuimarisha Nidhamu Ya Jumuiya Ya Vijana Ambapo Pia Kikao Kimetoa Onyo Kali Kwa Wote Ambao Wamekuwa Wakienenda Kinyume Na Miiko Na Kanuni Za Kiuongozi Lakini Pia Kikao Hicho Kimeagiza Kwamba Wapo Viongozi Wa Jumuiya Hiyo Ya Vijana Wekuwa Wakitenda Matendo Ambayo Yamekuwa Hayafananii Na Miiko Na Miongozo Ya Kiongozi Wa CCM Hivyo Kikao Hicho Kimempa Maelekezo Katibu Wa Vijana Wa Mkoa Huo Kuwaandikia Barua Za Onyo Viongozi Hao Kwani Mambo Yao Ya Ovyo Yamekuwa Yakiitia Fedheha Jumuiya Hiyo Ya Vijana Ya Mkoa Wa Rukwa. 

d.)Kuongeza Kasi Ya Ufanyaji Ziara.Kikao Hicho Pia Kimempa Maelekezo Katibu Wa Vijana Wa Mkoa Kuakikisha Kwamba Wilaya Zote Ndani Ya Mwezi Ujao Ziwe Tayari Zimekwisha Anza Ziara Za Wilaya Zao Kwa Kujitahidi Kuwafikia Vijana Na Kwenda Kuwasikiliza Kero Zao Makatani,Lakini Pia Kufanya Semina Mbalimbali Za Uongozi Kabla Ya Ziara Ya Kimkoa Ya Mwenyekiti Wa Vijana Mkoa Ndugu Ramadhani Shabani Na Kamati Yake Ya Utekelezaji Hapo Mwezi May.

Kwa Umuhimu Zaidi Wa Taarifa Kwa Wadau,Kikao Cha Kamati Ya Utekelezaji Ya Jumuiya Ya Vijana Mkoa Wa Rukwa Pia Kilikuwa Na Agenda Ya.
Uundaji Na Uthibitishaji Wa Kamati Ndogo Ndogo Kamaifatavyo.

1.) Kamati Ya Fedha,Uchumi Na Mipango.
a.) Ndg. Anyosisye Thomas Kiluswa.
b.)Ndg.Bernard Mfaume.
c.)Ndg.Sultani Mohamed

d.) Ndg. Bupe Nelson Mwakangata(Mb)
e.)Ndg. Mahamudu Mtengela.

2.) Kamati Ya Ulizi Na Usalama Wa Viongozi.

a.)Coma Mussa.
b.)Hamisi Juma
c.)Chriss Mwaluwanda
d.)Issa Rashid.

3.)Kamati Ya Uhamasishaji Na Mitandao.

a.) Daudi Mbisa.
b.) Chrisant Kassim Mzumbwe(Mzindakaya Junior)
c.) Gaston Wakulyamba.
d.) Patrick Shampundu.
e.) James Hezbond
f.) Mbogi Petro.

4.)Kamati Ya Michezo.


Mwisho Kabisa Akufunga Kikao Hicho Cha Kamati Ya Utekelezaji Ndg. Ramadhani Shabani Mwenyekiti Wa Vijana Mkoa Wa Rukwa Alisema Kama Mwenyekiti Wa Vijana Wa CCM Mkoa Wa Rukwa Mpenda Amani Na Maendeleo Ya Taifa Letu Ninatumia Fursa Hii Kuwaaelekeza Vijana Wote Wa CCM  Na Vijana Wengine Wote Wapenda Amani Na Maendeleo Mkoa Wa Rukwa Kwamba Hakuna Anaye Anayeshiriki Katika Maandamano Yaliyoandaliwa Na Marofa Na Wapuuzi Wachache Kwa Ajili Ya Maslahi Yao Binafsi Na Kiu Zao Za Kuona Damu Za Watanzania Wanyonge Zikimwagika Na Kuifanya  Tanzania Ichafuka Katika Angaa Na Medani Za Kimataifa.Kama Kijana Mzalendo Mpenda Amani Na Maendeleo 
Ninapenda Kuviomba Vyombo Vya Dola Kuwashughulikia Haswa Wahusika Wote Watakaojaribu Kuandamana Katika Tarehe Hiyo Lakini Pia Ili Kukomesha Haya Yote Mazoea Ya Ovyo Naviomba Sana Sana Vyombo Vyetu Vya Dola Kuwafikisha Mbele Ya Vyombo Vya Sheria Wote Watakaokaidi Agizo La Mhe Raid Dkt John Pombe Magufuli La Kuwataka  Kutokuandamana.Tumechoshwa Na Kick Na Mambo Yao Ya Ovyo Ifikie Hatua Magereza Yetu Yasiogope Sasa Kuwa Na Wafungwa Wa Kisiasa Sababu Ni Wakaidi Wa Sheria Za Taifa Letu Hawa Ni Wahaini Wa Taifa Letu.

Imetolewa Na:-

Katibu Wa Hamasa Na Chipukizi Mkoa Wa Rukwa.

Maoni