Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi,Ndg.Kheri James Afanya Mazungumzo na Bandi ya Vijana Jazzi Wana Pamba Moto.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Kheri Denis James (MCC) Leo March,  29,2018,amekutana na kufanya mazungumzo na Wanamuziki wa Band ya Vijana Jazz  Wana Pamba Moto. 

Ndg.Kheri Denis James Akizungumza jambo.
Meza kuu wakiwa makini wakisikiza jambo. 
Ni mwanamuziki wa Band ya Vijana Jazz Wana Pamba Moto akizungumza jambo wakati wa Mazungumzo hayo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi, Ndg.Kheri Denis James. 

Maoni