NAIBU WAZIRI MGALU AKAGUA KITUO CHA KUZALISHA,KUSAMBAZA UMEME MKOANI MTWARA.

Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Hamisi Mgalu akikagua kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara . wakati alipotembelea kituo hicho jana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalaama Bw. Evod Mmanda.

Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Hamisi Mgalu akipata maelezo katika kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara wakati akipokea ripoti ya kituo hicho alipotembelea akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalaama Bw. Evod Mmanda.

Maoni