PONGEZI KWA MJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM MKOA WA DAR-ES-SALAAM NDUGU GWANTWA ALEX MWAKIJUNGU

Kwanza Nitoe Pongezi Kwa Ndugu GWANTWA ALEX MWAKIJUNGU Kwa Kujitoa Kwake Kwa Ajili ya Kufanikisha Movement za Kisiasa Katika Mkoa Huu wa DAR ES SALAAM Kiukweli ni Kipindi cha Miezi Miwili Sasa Huwa Ninaona Kazi za Kisiasa Hasa za MJUMBE WA BARAZA LA UVCCM TAIFA KUTOKA MKOA WA DAR-ES-SALAAM NDUGU GWANTWA ALEX Zikifanyika Kivitendo zaidi Kuliko Maneno na Kitu Ambacho Kwa Muda Mrefu Huwa Nakiwaza Sana ni Suala la WEB CONTENTS MANAGEMENT SYSTEM Kwa Tafsiri Nyingine Huu ni Muunganiko wa WEB PAGES,
PROGRAMING LANGUAGE na DATABASE MANAGEMENT Ambapo Kwa Mfumo Huu Utarahisa Suala la
 
1.Orodha ya Pamoja ya Wana UVCCM 

2.Uhakiki wa MAPATO ya UVCCM na CCM Kwa Mkoa wa DAR ES SALAAM

3.Suala la Ajira Miongoni Mwa Vijana wa CCM Kwa Mkoa wa DAR-ES-SALAAM

4.Pia Utatumika kukusanya Taarifa za Ufanyaji Kazi za Jumuiya Kwa Haraka zaidi Kutokana na Uwepo wa Teknology ya Mtandao ama System Kwa Kutumia Aidha Cellular Phone(Simu za Mkononi)  na laptops 

Pia Uwepo wa DAR-ES-SALAAM UVCCM SYSTEMS itasaidia Kuweka Taarifa za Wanachama wake wa UVCCM zaidi ya Milion 2 Kwa Wakati Mmoja na Mbali na Kuweka Utaweza Fanya selection au Utambuzi Kwa Wanachama Wanaohitajika Katika Majukumu Mbalimbali ya Kichama Kwa Kufanya SELECTION Kupitia System Hii Sambamba na Kufanya Taarifa za UTAFITI Kuanzia Katika Matawi Mpaka Wilaya Kwa Kutumia Statistical Software(SPSS) na Program Nyingine Ambazo zina Support Masuala ya Uingizaji wa DATA Hasa Ms Offices na Program Nyingine Ambazo Zinafanya links ya Mfumo wetu Mpya Huu wa MTANDAO Kwa Umoja wa VIJANA WA CCM MKOA WA DAR-ES-SALAAM na Nampongeza  MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA DAR-ES-SALAAM -MUSSA KILAKALA,Katibu wa UVCCM MKOA-SAIDI YASSINI na Bila Kumsahau KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI WA UVCCM MKOA WA DAR-ES-SALAAM NDUGU SAADY KHIMJI na Kamati Nzima ya Utekelezaji ya JUMUIYA YA VIJANA WA CCM MKOA WA DAR-ES-SALAAM Kwa Kazi Nzuri Mlioianza Katika Jiji letu Kuu la Kibiashara la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Chini ya H:E DR JOHN POMBE MAGUFULI-RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA. 



IMETOLEWA NA

OMARI RAJABU-KATIBU UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM KATA YA SINZA. 

Maoni