SERIKALI IMEAHIDI KUTOA ARDHI KUENDELEZA KILIMO CHA PAMBA MANYARA

Katika kuelekea uchumi wa kati unaotegemea viwanda katika serikali ya awamu
yatano inayoongozwa na Rias John Pombe Magugufuli wanawake wilayani Babati
wameonyesha kuwa wanaweza hata bila kuwezeshwa baada ya kujikita katika kilimo
cha Pamba ambacho hakipatikani katika wilaya nyingine Mkoani Manyara.
Kilimo cha pamba katika mkoa wa Manyara kinafanyika katika kata tarafa ya
Mbugwe pekee.

Maoni