UVCCM CHAMAZI REDE CUP 2018 KUENDELEA KUTIMUA VUMBI WIKIENDI HII

Na shabani rapwi. 

UVCCM chamazi rede cup 2018 kuendelea wikiendi hii kwa michezo sita uku jumamosi kupigwa michezo mitatu na jumapili kuchezwa michezo mitatu.

Jumamosi Machi 17,2018 KISEWE QUEENS watawakaribisha BAMIA uwanja wa Kisewe uku wababe wanao ongoza kundi A MFENESINI QUEENS watakaribisha KIPONZA uwanja Mfenesini na RUFU watakuwa wenyeji dhidi ya MBANDE MAGENGENI uwanja Rufu

Na siku ya jumapili Mechi 18,2018. wababe wanao ongoza kundi B MSUFINI watakuwa wenyeji dhidi ya SAKU uwanja Msufini DOVYA B watawakaribisha MZAMBARAUNI uwanja Dovya B na DOVYA A watakuwa wenyeji dhidi ya KWA MKONGO QUEENS uwanja Dovya A
 

Maoni