UWT TAIFA YAFANYA KIKAO CHA KAMATI YAKE YA BARAZA KUU LA UTEKELEZAJI, YATOA TAMKO LA KUMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA RAIS DK. SHEIN, LATANGAZA VIPAUMBELEA VYAKE VINNE

ur

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Gautentia Kabaka akizungumza wakati akitangaza tamko la Kikao Cha kwanza cha Baraza cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT kilichofanyika leo makao Makuu ya UWT mjini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi.

















NNN


Maoni