WAWILI WAHOFIWA KUFARIKI DUNIA KWENYE AJALI MBAYA MKOANI KIGOMA.

Gari ya Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Ayub Rioba limepata ajali katika eneo la Mgombe, wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, wakati likitokea Kibondo kuelekea mkoani Kigoma.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Martine Ottieno, watu wawili wanahofiwa kufariki, huku yeye mwenyewe akipata majeraha kidogo.

Maoni