ZIARA YA M/KITI WA WILAYA YA UBUNGO NA KAMATI YAKE YA UTEKELEZAJI KATIKA KATA YA MABIBO  

Ndg. Edwin C Mrema amefanya ziara yake ya kikanuni leo katika kata hiyo akiambatana na katibu wa wilaya hiyo Ndg. Leah D Mbeke na kamati yake ya utekelezaji. 

Ndg. Edwin C Mrema katika ziara hiyo alisisitiza juu ya uhai wa jumuiya ya vijana katika kata ya mabibo pia mkiti ndugu Mrema aliwataka viongozi wa chama kuwalea vijana wa ccm aliendelea mkiti kwa kuwambia vijana kutumia fursa ya kuwa vijana wa UVCCM kwa kujitokeza na kushiriki katika shuhuri za kijamii


Imetolewa na KHC (w) Ubungo 
TAUSI HASSAN  
18/03/2018

Maoni