AKATWA PANGA KISA UNYUMBA KWA MUMEWE.

Mwanamke mmoja mama wa watoto watano anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya eneo la Rift Valley baada ya kudaiwa kukatwa kwa panga na mumewe kufuatia mzozo wa kinyumba .

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 30 alifikishwa hospitali akiwa na majeraha akisema mzozo ulianza baada ya kukosa kumtimizia unyumba mumewe.

Hata hivyo mmewe huyo alijitoa uhai kwa kunywa sumu baada ya kitendo hicho.

Mwanamke huyu anatarajiwa kukatwa mkono baada ya mkasa huo.

Chanzo : Green fm. 

Maoni