ALIYEKUWA MGOMBEA BARAZA KUU TAIFA NDG.VERONICA MOSES ATOA NENO ZITO KWA VIJANA.

Aliyekuwa Mgombea Baraza Kuu Taifa Ndg.Veronica Moses awataka vijana kutumia muda mwingi wa kufanya kazi na wasikubali kupoteza muda pasipo na shughuli maalum na kuacha kulalamika hali mbaya wakati vipo vitega uchumi vingi.

Ameyasema hayo leo Apr 06,2018 wakati akizungumza na RAPWI NEWS.

"Vijana tujifunze kuwa na brand wa vitu ili kukuza Uchumi wa Nchi yetu tusitumie Muda mwingi kulia hali mbaya wakati tunavyo Vitega Uchumi vingi vya kufanyia kazi" Alisema Veronica.

"tutumie muda wetu vizuri kwa ajili ya mafanikio yetu,tuangalie ni wapi tumepungukiwa na nini tutengeneze ili kujenga Imara,Vijana ndiyo kipaumbele" Alisema Veronica.

"Tumuunge mkono Rais wetu DR JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI katika uchapa kazi Kijana ni Jeuli na Taifa lolote bila Kijana Haiwezekana Kijana Simama Amka" Alisema Veronica.

Sambamba na ilo Ndg.Veronica awataka watanzania muunga mkono kwenye bidha yake ya Ubuyu inaitwa VERO THE BEAUTY LADY TZ GIRL. 

"napenda kuwaomba watanzania kuniunga mkono kwenye bidha ya ubuyu nilio ipata jina la Vero The Beauty Lady Tz Girl kwa jumla na rejareja sasaivi utaanza kupatikani tanzania nzima" Alisema Veronica.

"kwa yeyote atakae itaji awasiliane na mimi kwa facebook napatikana kama Veronica Moses ama kwa Email Mosesvero0@gmail.com yangu asanteni sana nategemea ushirikiano wenu" Alisema Veronica.

Maoni