BEI ELEKEZI ZA MAFUTA KWA MKOA WA GEITA ZINAZOANZA KUTUMIKA RASMI LEO.

Kwa wilaya ya Geita.

Petrol inauzwa kwa
Tsh. 2480 kwa lita, Diesel inauzwa kwa
Tsh. 2370 kwa lita na
Mafuta ya Taa inauzwa Tsh. 2319 kwa lita moja

Katika wilaya ya Bukombe.

Petrol inauzwa kwa Tsh. 2469 kwa lita,
Diesel inauzwa kwa Tsh. 2359 kwa lita na Mafuta ya Taa ni Tsh. 2308 kwa lita moja

Katika Wilaya ya Chato.

Petrol inauzwa kwa Tsh. 2501 kwa lita,
Diesel inauzwa kwa Tsh. 2391 kwa lita na Mafuta ya Taa ni Tsh. 2340 kwa lita moja

Katika Wilaya ya Mbogwe.

Petrol inauzwa kwa Tsh. 2518 kwa lita,
Diesel inauzwa kwa Tsh. 2408 kwa lita na Mafuta ya Taa ni Tsh. 2362 kwa lita moja

Katika Wilaya ya Nyang'hwale.

Petrol inauzwa kwa Tsh. 2495 kwa lita,
Diesel inauzwa kwa Tsh. 2385 kwa lita na Mafuta ya Taa ni Tsh. 2334 kwa lita moja.

Maoni