DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akizungumza na uongozi wa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Prof Mark Mwandosya  wakati uongozi wa chuo hicho ulipofika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo .

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiprana mikono na Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Prof Mark Mwandosya  mara baada ya kufika katika ikulu ya Zanzibar .

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Ali Mohemed Shein,akiprana mikono na  Mkuu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere , Prof. Shadrack Mwakalila mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiwa katika picha ya Pamoja na Uongozi wa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulipofika kumtembelea Ikulu ya Zanzibar .

Maoni