DOVYA B YATANGULIA NUSU FAINALI UVCCM CHAMAZI REDE CUP.

Timu ya Dovya B imekuwa ni timu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali baada ya leo hii kuichapa Mfenesini bao 2-1.

Mchezo uliokuwa na ushindani kwa pande zote kuanzia kipindi cha kwanza mpaka dakika 90 za mwamuzi.

Baadhi ya mashabiki wakizungumza na RAPWI NEWS wamesema mchezo ulikuwa mzuri na wenye ushindani mkubwa,wachezaji wamecheza kwa nidhamu na juhudi kubwa sana uku wakishauri na timu zingine kuiga mfano wa timu hizo.

Maoni