Fatma Karume Amechaguliwa Kuwa Rais Mpya Wa TLS.

Fatma Karume Amechaguliwa Kuwa Rais Mpya Wa TLS, Ushindi huu Unamfanya Fatma Kuwa Mwanamke Wa Pili Kushika Nafasi Hiyo Toka Kuanzishwa Kwa Chama Hicho Cha Mawakili Zaidi Ya Miaka 60 Iliyopita. Rais Wa Kwanza Wa TLS Mwanamke Ni Judge Joaquine De Mello.

Maoni