GEITA : JUMUIA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAADHIMISHA MIAKA 63.

Jumuia ya wazazi ya chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Geita yaadhimisha miaka 63 tangu kuzaliwa kwa Jumuia hiyo katika kata ya Ludete kwa kupanda miti na kufanya harambee ya kuchangisha fedha na vifaa vya ujenzi kwa lengo la kukamilisha ujenzi wa Shule mpya ya sekondari kata ya Ludete.
Baadhi ya viongozi wakipanda miti. 
Baadhi ya majengo ya Shule mpya ya sekondari kata ya Ludete.

Maoni