HAJI MANARA HASEMA HAYA BAADA YA YANGA KUTOLEWA ASFC.

Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka saa chache baada ya watani wao wa jadi Yanga kutolewa kwenye Mashindano ya ASFC.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagam Manara kayaandika haya

"Hata sihangaiki na kilichotokea Singida..leo holiday bana..nakula nchi tu....mtanipa matokeo baadae ila naambiwa kuwa penati ishafika kinshasa kwa sasa" - Haji Manara..

Maoni