IGP akabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho.

 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akishuhudia Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba akimkabidhi IGP Simon Sirro  ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho ghafi iliyosafirishwa kwenda Vietnam mjini Dodoma leo  Aprili 18.2018. Picha na Ofisi ya Waziri mkuu.

Maoni