KIBOKO AWATISHIO KWA WANANCHI.

Wakazi na  wakulima wa eneo la Mpanda Hoteli Kata ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameiomba mamalaka ya maliasili kuondoa viboko walio jirani na makaz yao kutokana na kutishia maisha

Wakizungumza na Mpanda radio wananchi hao wamesema kuwa wanahofia zaidi  maisha yao baada ya viboko hao kuvamia eneo la mto Mpanda

Kwa upande wake Mkurugenzi wa manispaa ya Mpanda maiko znyungu ameahidi kulishulikia suala hilo kwa kuwasiliana na mamalaka ya maliasili

Kuzagaa kwa wanyama hao hali imetajwa kuwa ni kuendelea kunyesha kwa mvua za masika huku wanyama hao wengine wakitajwa kusombwa na maji.

CHANZO:Ezelina Yuda

Maoni