MFENESINI QUEENS YASHINDWA KUTINGA NUSU FAINALI UVCCM CHAMAZI REDE CUP YACHAPWA 2-1 NA DOVYA B.

Robo fainali ya mashindano ya UVCCM CHAMAZI REDE CUP imetimua vumbi leo Aprili 14, 2018 kwa kuzikutanisha timu za DOVYA B na MFENESINI QUEENS.

Na mpaka dakika 90 za mwamuzi Dovya B 2-1 Mfenesini mchezo ulikuwa mkali kwa pande zote mbili.

Ivyo kwa matokeo hayo Mfenesini inakuwa ni timu ya kwanza kuaga mashindano hayo kwenye hatua hiyo ya robo fainali na uku timu ya Dovya B inakuwa timu ya kwanza kutangulia nusu fainali.

Maoni