MWENYEKITI UVCCM MKOA WA MANYARA AITAKA SERIKALI KUWAPA AJIRA VIJANA, ASISITIZA SERIKALI IANGALIE NI NAMNA GANI WANANCHI WA MANYARA WANAENDELEA KUNUFAIKA NA MADINI YA TANZANITE.

Mwenyekiti Wa Vijana Wa CCM Mkoa Wa Manyara Ndg. Moses Komba Akizungumza Mbele Ya Mkuu Wa Wilaya Amemsihi Kuangalia Yafatayo Katika Kuakikisha Wananchi Wa Mkoa Wa Manyara Wananufaika Na Madini Ya Tanzanite Yanayopatikana Katika Mkoa 

Ndg. Moses Komba Amewasihi Viongozi Wa Mkoa Huo Kuweka Vipaumbele Katika Kuakikisha Wananchi Wa Mkoa Wa Manyara Wananufaika pia na uwepo wa Madini hayo Mkoani mwao.

Katika hatua nyingine Ndg. Moses Komba ameiomba Serikali kuwaangalia kwa pekee Vijana wapatao 150 ambao Wanafanya Kazi katika Mgodi huo,huku akiitaka Serikali iwape kipaumbele  Vijana hao katika fursa za Ajira zitakazopatikana kutokana na Ujenzi wa ukuta unaozunguka Mgodi huo wa Tanzanite Mkoani Manyara.

Maoni