MWENYEKITI UVCCM MKOA WA MBEYA AZUNGUMZA NA WASOMI WA VYUO VIKUU MBEYA

Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya Ndg. Mohamed Ally Mashango alikuwa mgeni mwalikwa katika kongamano la vijana wasomi Katika mkoa wa mbeya.
Kongamano hilo lililoandaliwa na viongozi wa idara ya vyuo vikuu mkoa mbeya. 

Kongamano hilo ni tija na faida kwa vijana hao ambao walipata wasaha wakuongea mambo mbalimbali yanayolenga maendeleo kwa jamii  nzima.

Mwenyekiti aligusia mambo mbalimbali na utekelezaji wa ilani Katika Sekta za 
Elimu, Afya,Ujenzi na
4% ya vijana

Mwenyekiti Aliwapongeza uongozi wa vyuo vikuu kwa hatua mbalimbali wanazozichukuwa ili kumfanya kijana wa mkoa wa mbeya kuona Fahari ndani ya mkoa wake. 
Imeandaliwa na
JUMA KOKO
Katibu wa uhamasishaji na chipukizi.
UVCCM mkoa. 
Sokomatola. 
Mbeya.

Maoni