ROBO FAINALI YA UVCCM CHAMAZI REDE CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMA MOSSI HII.

Na Shabani rapwi

-Aprili 13, 2018

Robo fainali ya kwanza ya Mashindano ya UVCCM CHAMAZI REDE CUP kuanza kutimua vumbia jumamossi hii ya Aprili 14, 2018 kwa kuzikutanisha timu za

MFENESINI QUEENS Vs DOVYA B kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chamazi Saa 10 Jioni.

Na siku ya jumapili Aprili 15, 2018 MSUFINI QUEENS watakaribisha  MBANDE MAGENGENI kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chamazi Saa 10 Jioni.

Maoni