ROMA MKATOLIKI ATEKELEZA AGIZO LA SERIKALI, AJISAJIRI BASATA

Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini, Roma Mkatoliki amejisajiri rasmi katika baraza la Sanaa Tanzania-BASATA.

Pia, Roma amekabidhiwa cheti cha kutambulika na BASATA kama msanii.
Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo lililomtaka msanii huyo kujisajili ili kukwepa adhabu yake ya kufungiwa miezi sita kutojihusisha na shughuli za muziki.

Maoni