TAMTHILIA YA UKWENI SOON TV -E

Hakika tunatoa shukrani zetu za dhati kwa katibu wa wilaya uvccm  ubungo Leah mbeke kwa kutuwezesha bajeti kwa ajili ya demo ya  tamthilia yetu ya UKWENI. 

Ahsante sana katibu wetu hakika unatujali sana vijana kwa kutufikisha mpaka hapa tulipo tunaomba utusambazie kwa wadau ili waweze kuona tunachokifanya ila tunakutegemea sana wewe katibu wetu kutupeleka mbali zaidi ,mungu akubariki ,akupe afya njema na uendelee na moyo huo huo.

Tunaamini tupo akina Kanumba wengi ila tunahitaji mkono wako katibu wetu tuinuke na tusimame kutimiza ndoto zetu.

Endelea kututafutia wadau na tufikishie shukrani zetu na kwao pia.

Hii hapa ifuatayo ni demo yetu ya tamthilia ya UKWENI itakayoanza kurushwa kwenye TV E hivi karibuni.

Tunashukuru sana katibu Leah.

TAMTHILIA YA UKWENI SOON TV E

Hakika tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kitibu wa wilaya uvccm   ubungo Leah mbeke kwa kutuwezesha bajeti kwa ajili ya demo ya  tamthilia yetu ya UKWENI.

Maoni