USHAURI KWA WAKULIMA.soma zaidi.

Wakulima mkoani Katavi wameshauriwa kulima kilimo kinazichozingatia utalaamu wa kilimo hali itakayo saidia  kuhifadhi ardhi yenye rutuba.

Ushauri huo umetolewa na mtaalamu wa kilimo Ramadhani Athumani wakati akizungumza na mpanda redio kwa njia ya simu kuhusu namna bora ya kutunza ardhi kwajili nya kilimo.

Kwa upande wa baadhi ya wakulima mkoani Katavi wamesema wengi hushindwa kuzingatia kilimo bora kutokana na ukosefu wa elimu kutoka kwa watalaamu hao na kuwaomba kutoa elimu Zaidi kwajili kuendelea kuhifadhi ardhi inayotegemewa na watanzania wengi.

Kwa takriban miaka 1960 nchi imekuwa ikijinasibu na uchumi unaotegemea kilimo ambapo  zaidi ya asilimia 70 ya wananchi wanajihusisha na kilimo au biashara inayotokana na kilimo.

 Source:Ester Baraka.

Maoni