UVCCM ZANZIBAR KUFANYA MATEMBEZI KUMWENZI HAYATI ABEDI AMANI KARUME.

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg.Tabia Maulid Mwita leo Apr 04,2018 amefanya mazungumzo na vijana walio kambi wakijianda kwa ajili ya matembezi ya kumuenzi Mzee Abedi Amani Karume ambayo matembezi hayo yanatarajiwa kufanyika hapo Apr 06, 2018 yatakapo anzia Nyumbani kwa hayati Mzee Abedi Amani Karume na kuelekea Ofisi kuu ya Kiswandui Zanzibari
Hafla hiyo ilihuzuriwa na wajumbe wa Nec, Wenyeviti wa mikoa ya unguja  watendaji wa afisikuu ya uvccm zanzibar na viongozi wa umoja wa maskari wastaafu zanzibar UMAWA. 
Wajumbe walio hudhulia halfa hii hiyo. 

Maoni