VIONGOZI WA JUMUIYA ZA CHAMA UWT, WAZAZI NA VIJANA WAUNGANA NA NDG KINANA KUSAINI NA KUTOA POLE KUFUATIA KIFO CHA MAMA WINNIE MANDELA UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NCHINI TANZANIA.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Shaka. H Shaka akisaini na kutoa pole. 
Mwenyekiti UWT Mama Caudensia Kabaki akiweka saini na kutoa pole. 
Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Maalim Seif Shaaba akiweka saini na kutoa pole. 
Picha ya pamoja. 

Maoni