VIPIMO VYA HIV/AIDs VYAUA MTU.

Mtu mmoja mkazi wa Manispa ya Bukoba mkoani Kagera amekufa kwa kujinyonga baada ya kupima afya yake na majibu kuonesha ameathirika na virusi vya ukimwi. 

Katika ujumbe alioucha, Seridion Sylvester amesema ameamua kuchukua maamuzi hayo baada ya mkewe kukataa kuishi naye baada ya kumfahamisha majibu ya vipimo vyake.

Chanzo : Green fm 

Maoni