ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA MANYAMA YAVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 150

Mwenyekiti Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi  Mkoa Wa Manyara Ndg.Moses Komba amefanya ziara katika wilaya ya Manyara Mjini.

Akiwa Manyara Ndg. Moses Komba Ambaye Ndiye Mwenyekiti Wa Vijana Wa CCM Mkoa Wa Manyara Amefanya Kazi Kadhaa Za Uimarishaji Wa Jumuiya Na Chama Kwa Ujumla Ambapo Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Amekabidhi Kadi Kwa Wanachama Wapya Takribani 150 Waliojiunga Na Chama Cha Mapinduzi,Lakini Pia Amezidua Tawi Jipya Ikiwa Pamoja Na Kufanya Mkutano Wa Ndani Ikiwa Ni Lengo Moja Kuu La Kusikiliza Kero Za Watumikiwa Yani Kwa Maana Nyingine Wenye Jumuiya Yao.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Tukutane Kazini

Maoni