MWANAUME AAMUA KUJIUA KISA BILI KUBWA YA UMEME!

Mwanaume mmoja, raia wa India ambaye anafanya biashara ya mboga za majani ameripotiwa kujiua
baada ya kupokea bili ya umeme ya gharama ya
sawa na
Dola za Marekani 13,000 Shilingi za Kitanzania milioni 31.2
Mwanaume huyo anayefahamika kwa jina la Jagannath Shelke, 36, alikuwa ni mkazi wa kusini mwa Maharashtra nchini humo.

Familia yake imeliambia
kuwa aliacha ujumbe kuwa amejiua kutokana na bili hiyo ya umeme kuwa kubwa sana. Shirika la Utangazaji BBC Jagannath
Hatahivyo inaelezwa kuwa bili hiyo ilikuwa imekosewa, bili sahihi ilikuwa ni sawa na takriban
.Dola za Marekani 41.6
Shilingi za Kitanzania 98,000.


Share to: 

Maoni