Mwambie mpenzi wako maneno haya matamu 'Utauteka moyo wake'.

Wanaume wengine wamekuwa wakilalamika ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa Mwanamke.

Ni kwa sababu hawatumii maneno sahihi, watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui wapi pakuanzia na wataanzaje.

Basi ondoa shaka, nimekuletea maneno 10 ya kumwambia mpenzi wako.

1.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu.
2. Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako.

3.Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.
4. Wewe ni msichana mzuri ambae kamwe sikuwahi kukutana nae.
Unafanya huzuni zangu kupotea kwa tabasamu lako zuri.

5.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua.
6.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

8.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

9. Unanielewa mimi vizuri, ni kama unasoma akili yangu.
10.Najisikia vizuri sana kutumia muda wangu na wewe.

Maoni