Leo ni siku ya kuzaliwa msanii Asya Utamu. Happy Birthday Asya!

December  27 2017 ni siku ambayo msanii wa mziki wa taarabu kutokea kundi la Wakaliwao Modern Taradance Asya Utamu  anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka kadha ambapo wadau mbalimbali pamoja na team Asya Utamu  wakimtakia heri ya siku yake ya kumbukumbu ya siku kuzaliwa.

Pia shabanirapwiblogsport. com inamkutakia Happy Birthday Asya Utamu.

Maoni