ANATAFUTWA

Mtoto TRIZA SAMWEL (Miaka 14) alipotea Tarehe 14/03/2018 Asubuhi   katika mazingira ya kutatanisha alipokuwa akipatiwa matibabu katika  Hospital ya Mount Meru (Arusha).

Yeyote atakayemwona tafadhali wasiliana na ndugu kwa simu namba 0687399826 / 0757110766 au aripoti kituo cha polisi kilicho karibu naye.

Naomba tusaidiane kusambaza huu ujumbe kwa magroup Na watu ili mdogo etu apatikane

Maoni